Kenya Literature Bureau

 (+254) 20 3541196/7

Kipepeo Mrembo

Kipepeo Mrembo ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za kiswahili za Nasaha Zetu. .

 

Katika hadithi hii, Mtoto Rogo anapenda sana kukimbia huku na huko akiwafukuza vipepo wa aina mbalimbali. Licha ya baba yake kutaka ajifunza uvuvi kama yeye, Rogo hana shughuli na uvuvi. Pia, hana hamu ya kwenda shule kama watoto wenzake. Sababu ni kwamba hataweza kuwafukuza vipepeo.

Inachukua hekima ya mwalimu Beka kumshawishi Rogo kwenda shule. Mwalimu anamshawishi Rogo vipi kwenda shule kusoma a, e, i, o, u.